sababu za umasikini afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukifikiria vizuri kabisa na kwa utulivu utagundua sababu kuu ya umasikini Tanzania na Afrika ni ukosefu wa maadili na uzembe

    Ukosefu wa maadili na uzembe kwa watumishi wa umma na wananchi ni tatizo kubwa ambalo limechangia na linaendelea kuchangia umasikini nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Tatizo hili lina mizizi yake katika malezi na mazingira ya kijamii ambayo watumishi hawa wanakulia. Mfano mmoja ni ufisadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…