sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mhubiri mtata Nigeria, Yahaya Masussuka, aliyepinga hadithi za Mitume mohamed na kusisitiza kuwa quran tukufu inatosha auawa kwa kupigwa risasi

    Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake. Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
  2. JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  3. JamiiForums Tanzania LEMA waambie walokutuma, Hatuogopi kufungwa kwa sababu ya Ripoti za Kihuni za JAJI Chande na JAJI Lila,Kwann CCM hawataki uchunguzi Huru?

    Kama Viongozi wa CHADEMA wataishia Jela, swali la msingi ni Wanaishia Jela kwa Haki au Uonevu na Ukandamizaji??. Yaaan wewe LEMA mpumbavu, unataka CHADEMA iwapihie Magoti CCM eti sasa Viongozi wake wasifumgwe??? Wewe LEMA ni mjinga kupindukia, Badala ya kuwaambia Wananchi lazima Tupambane...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utawala ambao ungesahaulika ghafla na usikumbukwe kabisa, ni huu wa Samia, ila kwa sababu ya mauwaji, utakumbukwa kwa ukatili huo!

    TANZANIA tulipoanza kudai maendeleo katika nchi yetu, tulionjeshwa kidogo namna ya kuyaleta hayo maendeleo na yenye uchungu ndani yake, tulipewa brudoza, tingatinga, ambalo halikujali chochote chenye kutia hasara na ama kitacholeta uchungu badaye, Bali ilikuwa wengine wote wakae kimya, brudoza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Padre Jonathan Mkwizu: Unaweza ukatesa, ukateka, ukaua watu sababu una majeshi - ila, Mungu yupo!

    Katibu wa Askofu wa Jimbo Katoliki Same, Padre Jonathan Mkwizu, amewataka waumini wa Kanisa Katoliki na jamii kwa ujumla kutumia madaraka na nafasi walizonazo kuwasaidia watu wenye uhitaji badala ya kuwatesa, kuwaonea na kusababisha mateso kwa wengine
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Mama Akamatwa kwa Kuzuia Mtoto Kufanya Mtihani wa KPSEA kwa Sababu ya Namba 666

    Mama mmoja katika eneo la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amekamatwa na polisi kwa madai ya kumzuia mtoto wake kufanya mtihani wa kitaifa wa Kenya Primary School Education Assessment (KPSEA) baada ya kupewa namba ya mtihani 666, ambayo alidai inahusishwa na Shetani. Kwa mujibu wa taarifa...
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi zimwi la mapenzi kinyume na maumbile linavyo act kila hatua ya maisha yako

    SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke. Itafika hatua ambapo unakuwa mtazamaji wa pornograph, ambapo utaona "pleasure mpya" katika sehemu ya aja kubwa ya mwanamke, ile...
  9. JamiiForums Tanzania Kafulia usijichetue, India na Wachina Wana watu zaidi ya B Moja, ila wanamiliki Chumi kubwa, Afrika haiendelei sababu ya Viongozi wa ovyo ovyo

    MAREKAN Ina watu zaidi ya Milion 300, na wameendelea . Kafulila usione Haya kusema kua "Afrika tuna uçhumi mdogo licha ya Idadi kubwa ya watu kwa sababu ,Ni Afrika tu ndo Mtu anatafuta Urais kama Sifa, Wizi, Ufisadi
  10. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuna kila Sababu ya Kumshukuru Rais Samia, Wakati Sisi Tuna Kula na Kuvimbiwa Wenzetu Ulaya Wanashinda na kulala na njaa

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake . Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
  11. JamiiForums Tanzania TANZANIA HATUJUI KUCHOMA NYAMA SABABU NYAMA YETU NI MBAYA

    Utamaduni wetu wa nyama choma hapa Tanzania kwa ujumla ni wakishamba sana. Ukiagiza nyama choma matarajio ya watu wengi ni nyama iive mpaka ndani iwe imekauka kabisa. Ukiomba medium rare au rare, unaweza kuangaliwa kana kwamba umeagiza nyama mbichi kutoka machinjioni. Tatizo letu ni kwamba...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu mzazi wangu Anakosa msaada Kwa sababu ya usanii wa kipuuzi

    Yupo mzazi huko kijijini amekuwa Na usanii wa kuongea uongo, Mimi Na ndugu zangu wawili tumekuwa tukimpa msaada Kadiri ya uwezo wetu lakini mwisho wa siku Hali yake Ni Bora zaidi ya Jana, ukimnunulia nguo anauza, ukimnunulia vitu vya thamani anauza....nipo mbioni kumkatia Bima ya afya, Kituko Ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ndio huanguka mapepo makanisani na kwenye vituko vya Dua? Sababu ni hii 👇👇

    Biblia inasema " watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".Hosea 4 : 6 Nani anawaangamiza? Ni adui/ shetani/ mapepo. Biblia inasemaje kuhusu mali? Kwenye Mithali za Suleiman, Suleiman anasema hekima inaonyesha matokeo, yaani ukiwa na hekima/ akili utapata vitu kwa hiyo hekima. Kwahiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
  15. JamiiForums Tanzania HAKUNA SABABU YA LISSU KUENDELEA KUKAA NYUMA YA NONDO

    Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu. Huwezi kujitosa kupambania maiti.Watanzania waachwe kama walivyo na maisha waliochagua kuishi.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Sina Huruma na CHADEMA Mimi. Kila Baya Liwe Juu Yao. Siwapendi Kwa sababu ya Matusi yao kwa Rais wangu

    Ndugu zangu Watanzania, Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila aina ya Dhoruba itakayo wapa msongo wa mawazo na mateso ya akili . CHADEMA wasipate amani ya moyo...
  17. JamiiForums Tanzania Responded DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  18. JamiiForums Tanzania Responded TTCL yafafanua sababu za Mdau wa Goba kukosa huduma ya Faiba licha ya kulipia

    Baada ya andiko la Mdau alilozungumzia Huduma ya Faiba kutoka TTCL, andiko hili hapa ~ TTCL wamepokea malipo yangu ya Faiba kisha wanasema huduma haijafika Goba - Mageti Ufafanuzi umetolewa kutoka TTCL 👇🏼 Tunamshukuru mteja kwa kuwasilisha hoja yake na kutupa fursa ya kufuatilia suala hili...
  19. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…