sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Viungo vya binadamu vinavyokatwa kwa sababu mbalimbali hupelekwa wapi?

    Leo nilikuwa hospitali moja kwaajili ya matibabu. Nikamuona mzee mmoja kwenye wheelchair, ana mguu mmoja mwingine umekatwa kuanzia kwenye goti. Hii ikapelekea nijiulize hivi viungo vinavyokatwa kwasababu ya magonjwa kama kisukari na mengine huwa vinapelekwa wapi. Ni mgonjwa anapewa kiungo chake...
  2. M

    Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  3. Kwanini naamini Iran Ilikirupuka kuishambulia Israel kwa sababu lemavu?

    Ayatollah na wadau wake walisema sababu ya kurusha makombora ni 1: Kisasi kwa kiongozi wa Hamas aliyeuwawa ndani ya ardhi yake na watu wanaodhaniwa ni waisrael. 2: Kuuwawa kwa kiongozi wa Hesbullah huko Lebanoni. Ukiangalia sababu hizo zote hazina mashiko ukilinganisha sababu za mashambulizi...
  4. L

    Pre GE2025 Ally Keissy asema atagombea Ubunge mwakani kwa sababu Mbunge wa CHADEMA hakuna alichofanya

    Ndugu zangu Watanzania, Mbunge wa Zamani Wa Nkasi kaskazini Ally Keissy aliyekuwa na kila aina ya vituko na Mbwembwe ndani ya Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania,amesema ya kuwa anajipanga tena kugombea ubunge hapo Mwakani na kwamba hajaondoa dhamira hiyo. Amesema mbunge aliyepo kwa sasa...
  5. Hii ndio sababu ya ongezeko wagonjwa wa vifua, mafua nchini

    Wizara ya Afya imesema kuna ongezeko la virusi wanaosababisha homa kali ya mafua inayoambukiza maarufu influenza, waliyotaja kusababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Homa hiyo ambayo husababisha ugonjwa wa vifua inaongezeka katika baadhi ya maeneo nchini, huku wataalamu wa afya wakitoa...
  6. Othman Masoud: Watu wengi wamehama Zanzibar kwasababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma Wanazofanyiwa

    Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema watu wengi wamehama Zanzibar kwa sababu ya Dhiki, Mateso na Dhulma wanazofanyiwa na baadhi ya Watawala. Soma: ==> Mwenyekiti wa Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar ACT Wazalendo Othman Masoud kesho...
  7. Hii ni sababu kubwa isiyotajwa sana inayochangia Wabongo kutoweza kurithisha utajiri kwa vizazi vyao

    Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo. Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
  8. H

    Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

    Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
  9. Cristiano Ronaldo Asilimu na sababu ni ya kushangaza

    Cristiano Ronaldo alisilimu na sababu ni ya kushangaza Hadithi Utangulizi: Hakuna mtu angetarajia kwamba mmoja wa wachezaji wakubwa wa mpira wa miguu katika historia, Cristiano Ronaldo, siku moja angesimama kwenye mimbari ya msikiti, akizungukwa na hadhira ya waumini, wakati akisoma Quran Tukufu...
  10. Ninapitia mitandao ya kijamii hasa mtandao X naona Waarabu wanamaadui Kila pembe ya Dunia. Sababu kubwa ni ipi?

    Aiseeh! Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima. Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika. Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
  11. Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
  12. Mbona mlikaa kimya sakata la rushwa ya Qatar kwa maafisa wa E.U au kwa sababu haikuwa Israel au U.S.A

    Hapo juu ni pesa alizokutwa nazo mwanadada Eva Kaili aliekuwa makamu rais wa bunge la EU. Eva Kalili alikuwa mmoja kati ya watano waliokamatwa katika sakata hili linalohusu kupokea rushwa kutoka katika serikali ya Qatar ili wawa peti peti Qatar katika umoja wa ulaya na kuinfluence umoja wa EU...
  13. F

    Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

    Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa. Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani...
  14. D

    Kadri siku zinavyoenda kanisa katoliki linapotea slowly kwa sababu watu hawataki kusali kimprinsiple preiple.

    Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga. Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
  15. Hivi bado tuna sababu ya kuwa na serikali hii katika taifa hili.

    Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka yote tangu uhuru hadi sasa na hakuna aliyehangaika nao zaidi ya kuwasema tu....wamenogewa kiasi cha...
  16. Sababu ya kuita wanawake wazee "wachawi" Vigagula.

    Mwaka 1885 mwandishi H. Rider. Haggard aliandika kitabu King Solomon's Mines. Ndani ya kitabu hicho kuna kibibi kizee mmoja mwenye hila na katili sana. Jina lake Gagool. Mwaka 1966 kitabu hicho kikatafsiriwa kwa kiswahili kikiitwa Mashimo ya Mfalme Sulemani. Jina Gagool likatafsiriwa kama...
  17. Mange Kimambi asema kumuondoa Magufuli madarakani ilikuwa ni ngumu sana kwa sababu alikuwa anapendwa sana na watu yaani Watanzania

    Aman iwe nanyi watu wa MUNGU Dada yetu wa taifa anasema kwamba kumuondoa mama samia madarakan is very simple us to push a mlevi man kwa maana huyu mama hana support yeyote ya watu Mange anadai watanzania wanaompenda mama samia hawafiki hata mia mbili 200 kwahiyo kumfurusha madarakani ni rais...
  18. B

    CHADEMA wanazo sababu za kumpongeza Rais Samia kwa hotuba yake badala ya kulalama!

    Kwamba kumbe nini kilitumainiwa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine wamekuwa wanachukizwa mno na tekaji tekaji hizi? Kwamba Chadema kama ilivyo Kwa wananchi wengine wanaona ni muhimu uchunguzi huru na wa haraka kufanyika sasa? Kwamba Chadema kama ilivyo kwa wananchi wengine...
  19. Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…