Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha.
Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru mwisho wasiokua wavumilivu wanakimbia na kuacha ndoa zao, imenifanya niwaze kwanini watu wanaoana kwa...