Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika.
Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa yamemwagwa barabarani tayari kwa kuanza matengenezo.
Naipongeza sana TARURA nawaomba haya mawe yasimalize...
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha.
Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana.
Najua lengo lako ilikuwa kutuchota akili ili tukupe nafasi nyingine. Ninachokuomba turekebishie...
Tarehe 7.7. 1954 kilizaliwa chama cha Ukombozi wa Tanganyika. Kiliitwa Tanganyika African Nation Union (TANU).
Maazimisho ya sabasaba yalikuwa na historia ya kuanzishwa kwa Chama (TANU). Mnamo mwaka 1992 baada ya JAMHURI ya muungano wa Tanzania kuingia katika mfumo wa vyama vingi...vyama vya...
Habarini wanajukwaa...
Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida.
Kama wananchi hatupingani na shughuli za maendeleo zinazoletwa na Serikali ya mkoa shida ni kwamba wazee wa kazi walivyokuja...
Kumekuwa na kawaida ya Taasisi mbalimbali za umma na Binafsi wakati wa maadhimisho fulani ndio huchakarika kwelikweli lakini yakiisha ndio basi.
Tunawakumbusha kuendelea kuwa wakarimu na kutoa huduma bora vilevile kama mlivyokua mkielezea wakati wa SabaSaba.
Kituo cha Afya cha Sabasaba katika Manispaa ya Morogoro, kimezidiwa na wagonjwa wa kuharisha na kutapika wenye dalili zote za ugonjwa wa Kipindupindu, ambapo usiku wa kuamkia Julai 16, ITV imekuta wagonjwa 12 wakiwa wametandikiwa magodoro maeneo mbalimbali ikiwemo sakafuni, kwenye mabenchi ya...
Naomba nimpe kibarua pia nimpongeze January Makamba, kwa uongozi safi wa wizara husika, hakika upele umepata mkunaji.
Lengo la uzi huu ni kumuomba Makamba kuwaalika wawakilishi wa viwanda vya China hapa nchini, katika sabasaba 2025, ili wawakilishi hao wafanye kazi mbalimbali ikiwemo kuwasaidia...
Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana.
Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji...
ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR
Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani.
Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
MAZUNGUMZO SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR BANDA LA UDSM 1
Nimetembelea Banda la Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam nimekuta nje wameweka vitabu vingi vya historia.
Nimeanza kutazama kitabu kimoja baada ya kingine.
Sikuona kitabu cha Abdul Sykes.
Nimemuuliza niliyemkuta pale kulikoni...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July.
Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki...
TAARIFA KWA UMMA: MAMEYA NA WAFANYABIASHARA COMORO KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA
Kufuatia juhudi za utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi, Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) umefanikiwa kushawishi jumla ya Wafanyabiashara...
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu mweusi wa kumuweka kwenye hilo bango? au ndo tunaandaliwa kisaikolojia kwa mchina kukabidhiwa...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeibuka mshindi wa kwanza katika kundi la watoa huduma za afya, vifaa tiba na teknolojia ihusuyo afya wakati wa maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi...
Watumishi wa Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini wanaendelea kutoa elimu, ushauri kwa wadau wanaotembelea banda la Wizara (MADINI PAVILION) katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mdau ameshusha andiko lake hili hapa, tulisome tunaweza kupata kitu au ikiwezekana wahusika wachukue hatua...
Japokuwa maonesho yanaelekea mwishoni lakini si vibaya tukipaza sauti changamoto ya huduma mbovu ya vyoo vinavyotumiwa na Wanawake ndani ya maonesho ya Viwanja vya SabaSaba, kwa ufupi...
Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM.
CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...
Halmashauri ya Ilemela mkoani Mwanza imelekeza uongozi wa soko la Sabasaba lililopo maeneno ya Kiseke kutupa takataka barabarani baada ya eneo walilokuwa wanatumia awali kupewa mwekezaji. Takataka hizo zinatupwa barabarani katika makazi ya watu na karibu na mama ntilie kitendo kinachoweza...
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk Ashatu Kijaji amesema kampuni za nje zilizoshiriki katika maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) mwaka huu zimeongezeka ikilinganishwa na mwaka jana.
Mwaka huu jumla ya kampuni 266 kutoka nje zimeshiriki maonyesho hayo...