Napenda kuwatakia Maandalizi Mema ya Sabato ya Bwana.
Sabato haikomei kuwa maalumu kwa wanadamu tu bali na kwa wale wafanyao kazi. Siku 6 fanya kazi zako.
Ikiwa hufanyi kazi bila Sababu yoyote iliyo nje na uwezo wako, basi sabato haikuhusu.
Moja ya Amri za Mungu katika kitabu cha kutoka 20 ni kuikumbuka siku ya Sabato na kuitakasa.
Na hakuna ubishi kuwa siku ya saba ndiyo siku ya Sabato. Pia hakuna ubishi kuwa siku ya saba ya juma ni jumamosi. Labda kwa waswahili tu ambao wengi ni wavivu wa kusoma na kufikiri.
Hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.