sabufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanki

    Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  2. M

    Nini chanzo cha sabufa kutoa sauti ya kukwaruza?

    Sabufa yangu inatoa sauti inayokwaruza nini chanzo cha hili tatizo?
  3. Mr_Plan

    INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

    Natuma ni wazima wa afya,Nilikuwa na naitaji kununua sabufa katika pita pita nimekutana nahii sabufa kwa mwenye kuifahamu vizuri anipe mrejesho kabla sijayavagaa
  4. Faru Tobbi

    INAUZWA Nauza Sabufa aina ya Sea Piano

    Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene Inapatikana Ubungo Dar es salaam. Njoo pm tumalize biashara
  5. Buda95

    INAUZWA Sabufa ya gari na bajaji inapatikana kwa bei nafuu

    Subwoofer yenye Amplifier ndani -Watts 1000 Mdundo Kama Wote[emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana kwa Jumla na Rejareja Bei 90,000/= Tupo Kariakoo-Dar es Salaam WhatsApp & Calls 0714122948 Delivery Ipo Mikoani Tunatuma Pia
Back
Top Bottom