🔊 MziKi mNeNE 🔊
*Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki.
Ina
Bluetooth
FM Radio
USB
AUX
Memory Card
NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...