saccos

  1. Rozela

    CCM ni SACCOS isiyo na Mwenyewe, CHADEMA ni Kikoba Chenye Mwenyewe

    CCM kila mtu anajipigia anasepa. CHADEMA shoo zote anasimamia kamanda wa anga, mjomba wangu kumbukeni kuwa mjomba ni mama. Ambao hamjachangia kadi zenu fanyeni hima tunahitaji kuchoma mbuzi zaidi mwaka mpya.
  2. R

    Tanzania Commercial Bank inaendeshwa kama Saccos iliyoko kwenye majaribio

    1. Leo salary advaance/pension advancy /mikopo iko, kesho inaondolewa kesho kutwa inarudishwa! majaribio! You cannot plan anything with this Saccos! 2. Most of the time ATM ni out of order Wapo wapo tu nadhani hawana dira, wanafanya wanalolifikiria leo!
  3. kipara kipya

    LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  4. Mshana Jr

    SACCOS kubwa zaidi Tanzania mpaka Disemba 2023

    1.Ngome SACCOS - Bilioni 150.84 2. URA SACCOS – Bilioni 136.43 3. TRA SACCOS- Bilioni 88.64 4. TANESCO SACCOS- Bilioni 71.53 5. ELCT ND SACCOS- Bilioni30.35 6. TPS SACCOS- Bilioni 30.09 7. Hazina SACCOS- Bilioni 28.29 8. Bandarini SACCOS- Bilioni 22.58 9. JKT Staff SACCOS- Bilioni 18.51 10...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  6. L

    Pre GE2025 Mchungaji Peter Msigwa: CHADEMA ni saccos ya mtu

    Ndugu zangu Watanzania, Mtumishi wa Mungu Mchungaji peter Msigwa ambaye kwa sasa ni kada mtiifu na Mzalendo kwa chama cha Mapinduzi na ambaye anajutia uamuzi wake wa kupoteza nguvu zake na muda wake wa miaka takriban 20 kuwa ndani ya CHADEMA. Amsema kuwa CHADEMA ni Sacco's ya mtu ,ambapo...
  7. Carlos The Jackal

    Mwenyekiti/Afsa Mkopo Saccos, Wamekiri Kwa MAKONDA, hawakubaliani na hawakumpa Kibali yule Tapeli Kuuza Nyumba ya Mtu Million 50 Kwa Mkopo wa 3 M.

    Kama Kuna Mkoa ambao Nuru ya uponyaji, Amani, Baraka ,Furaha, Haki, faraja, uwajibikaji, maadili imeaaangukia ni Arusha kua na Paul Makonda. Kuna Huyu Tapeli wa JF mpuuzi Mmoja, mwenye Chuki dhidi ya Makonda, anayejiita chiembe akaja na Uzi wa blaa blaaa blaa. Sasa ukweli ni huu ...
  8. Ndagullachrles

    LATRA K'njaro yawezesha SACCOS kwa Bajaj na Bodaboda

    Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini mkoani wa Kilimanjaro(LATRA)imekamilisha mchakato wa uanzishwaji wa Chama cha ushirika wa Akiba na mikopo(SACCOS)kwa ajili ya chama cha Madereva wa Bajaj na Bodaboda Katika mkoa wa kilimanjaro. Mpango huo inatajwa kama moja ya mwarobaini wa kutafua changamoto...
  9. Jamii Opportunities

    Saccos Manager at Amkeni saccos ltd March, 2024

    Position: Saccos Manager NATURE AND SCOPE The successful candidate will be the Chief Executive Officer of the AMKENI SACCOS LTD and will report to the Board of Directors. He/she will be responsible for providing dynamic leadership, vision and direction of the SACCOS while ensuring an...
  10. tawakkul

    Bashe, Isaidie saccos ya uwamigo ili ituokoe kwenye tatizo la sukari

    Habari wanaJF. Hii makala ni kwa waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe. UWAMIGO SAVING AND CREDIT COOPERATIVE SOCIETY LIMITED yenye namba ya usajili PRI-MRG-KLS-DC-2023-5249, inapatikana kijiji cha Mbigiri wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro. SACCOS hii ina wanachama zaidi ya mia nne(400) ambao kwa...
  11. Jamii Opportunities

    Office Attendant at TCRA SACCOS Limited January, 2024

    Position: Office Attendant TCRA SACCOS Ltd is a registered Savings and Credit Cooperative Society whose main objective is to mobilize savings from members and I return provide credit facilities. TCRA SACCOS LTD is an employee-based Society which was established under the current governing...
  12. peno hasegawa

    TAMISEMI: Bado Afisa Elimu msingi Moshi manispaa yupo ofisini baada ya kuuzia saccos eneo la shule?

    Tunakoelekea tume fila mahali sasa watumishi wa Umma Wanafanya watakalo na hafanyiwi chochote, Je TAMISEMI mama ANJELA KAIRUKI Unafahamu maeneo ya Taasisi Za Umma Mfano maeneo ya shule Za msingi Za serikali yanauzwa? Kama Bado Afisaelimu mtajwa hapo juu yupo ofisini hadi leo kuna kila sababu...
  13. Roving Journalist

    URA SACCOS yatoa vifaa tiba kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Chama cha Akiba na Mikopo cha Jeshi la Polisi Tanzania, URA SACCOS kimekabidhi vifaa tiba pamoja na kompyuta kwa vikosi vya Jeshi la Polisi Tanzania. Vifaa hivyo ni pamoja na vifaa tiba kwa ajili ya Hospitali ya Jeshi hilo iliyopo Kunduchi, Simiyu na Kumpyuta kwa ajili ya Kikosi cha Ufundi na...
  14. sifi leo

    Je wewe ni kijana wa kitanzania elimu kuanzia kidato Cha nne,?na upo Mkoa wa Kagera,Iringa,na Mbeya na unaweza fanya kazi ya Recovery kwa Saccos ?

    Je wewe ni kijana wa kitanzania? Una umri wa kuanzia miaka 30? Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea? Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika? (Recovery?) Je upo Mkoa wa Mbeya?iringa?na kagera? Kama maswali yaliyo ulizwa hapo juu una sifa...
  15. tzhosts

    Pata Websites pamoja na Email 5 kwa gharama 199,000/= kwa miaka 2

    Je, biashara yako IPO Mtandaoni? Tunatengeneza SIMPLE websites maalum kwa ajili ya Biashara ndogo ndogo. Kwa mwezi huu wa wafanyakazi unapata website pamoja na EMAIL 5 kwa gharama ya shilingi 199,000.Tovuti yako itakuwa hewani kwa muda wa miaka 2 na baada ya hapo utakuwa na unafanya malipo ya...
  16. P

    Wamachinga wavurugana kuhusu Machinga SACCOS

    Wakuu Habari, Hali isiyokuwa ya kawaida uongozi wa taifa wa Shirikisho la Machinga umeingia katika mgogoro mkubwa juu ya nani wa kuzamini na kusimamia Machinga SACCOS Kati ya NMB na CRDB kutofautiana huko kumesababisha kutokea mpasuko mkubwa wa kimaslahi Kati ya Pande hizo kinzani na...
Back
Top Bottom