Kanisani kuna watu wana hali ngumu sana kifedha, ufukara umewajaa, Hawana chakula, nguo, makazi ya uhakika, Hawana vyanzo rasmi vya mapato, yaani full dhiki.
Hawa watu ni waaminifu sana mbele za Mungu, wanatoa hela zao zote walizochukua nazo, Mwamposa akiwaambia wajipukutishe, hata nauli ya...