Ndugu zangu hapa nimekaa na masheikh wa msikiti wa hapa mtaani wanasema kuwa wao wangekuwa viongozi wa makanisa wangekuwa matajiri kwa kuwa Wakristo hutoa sadaka nyingi sio sarafu kama Waislamu.
Wamenihakikia kuwa kwa ijumaa ambayo ndio siku kubwa kwa wiki wao hupata elfu sita hadi kumi kwa...