UTANGULIZI
Tunaishi hapa duniani, kuna siri nyingi zipo na wale wanaoweza kuzifahamu wanapata kujua mambo ya spirituality. Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na Sayansi kuleta mabadiliko makubwa lakini vilevile Imani zinaleta mabadiliko makubwa zaidi. Msimamo wangu ni Imani ipo na nafasi kubwa...
wakati Waislamu wanadai nabii Ishmael ndiye aliyetolewa sadaka ya kuchinjwa na nabii Ibrahimu wakristo Kwa upande wao Isaka ndiye aliyetolewa kuchinjwa Kwa mujibu wa Biblia Takatifu.
Mvutano na utafauti wa Msahafu na Biblia juu ya nani alitolewa kuchinjwa una tija Gani Kwa waamini wa pande hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.