UTANGULIZI
Tunaishi hapa duniani, kuna siri nyingi zipo na wale wanaoweza kuzifahamu wanapata kujua mambo ya spirituality. Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na Sayansi kuleta mabadiliko makubwa lakini vilevile Imani zinaleta mabadiliko makubwa zaidi. Msimamo wangu ni Imani ipo na nafasi kubwa...