safari channel

Safari TV Channel is an Indian non-profit television channel broadcasting in Malayalam language. It is an exploration channel based in Marangattupilly, Kottayam, Kerala. The channel is part of Safari Multimedia Pvt.Ltd, India.
A TV channel running without advertising, Safari TV does not accept ads.
Safari showcases the world through travelogues, explorations and programs highlighting history.
Safari TV Channel has production facilities and studios in Marangattupilly and Marine Drive, Ernakulam.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Tanzania Safari Channel hacheni kupotosha umma

    Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima Kilimanjaro Mpaka Uanzishwe Mwaka 1973? Kwa Uelewa Wangu Mlima Huu Ulikuwepo Tangu Kuumbwa Kwa Dunia...
  2. LA7

    Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

    Yaani mnatuonyesha vitu ambavyo hata kwenye mti karibu na kazini kwangu ninapopumzikia naviona Tena zaidi ya hivyo vya kwenye channel yenu.
  3. Eli Cohen

    Kuna utofauti wa kuwa introvert na kuwa na social anxiety dis-order (social phobia)

    Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi. Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
  4. M

    Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

    Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara. Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo. Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa). Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa...
Back
Top Bottom