Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.
Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.
Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).
Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa...