Wahenga wana msemo usemao lisemwalo lipo kama halipo laja, huwa jamii yetu wanasema jamii ya watu wanaofanya kazi za udereva haswa wa safari ndefu huwa wana tabia za uzinzi sana. Maneno haya yapo mtaani tangu siku nyingi hadi leo yanaongelewa, basi wikiendi iliyopita nilipata nafasi ya kusafiri...