Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, anatarajiwa kuondoka Abuja leo Alhamisi kuelekea Makkah nchini Saudi Arabia ili kufanya ibada ya Umrah na kuomba dua kwa ajili ya amani, umoja, utulivu na maendeleo ya nchi yake.
Taarifa iliyotolewa na Mshauri Maalum wa Rais kuhusu Habari na Mkakati, Bayo...