Bart Sibrel ni mmoja ya wapingaji wakubwa wa kuwahi kutokea safari ya binadamu mwezini.Amewahi kutengeneza filamu nyingi za kupinga tukio hilo lililotajwa kufanikiwa mwaka 1969.
Siku moja mwaka 2002 Bart alimdowea Buzz akiwa kwenye bustani na kumkabidhi biblia ili aape iwapo kweli alifika...