Wakuu,
Leo nimetoka Mwanza kwenda Nairobi kwa ndege ya Air Tanzania. Ndege hizi zinakera sana.
Kwanza kutoka Mwanza ilichelewa kwa nusu saa. Tukavumilia
Kasheshe imetokea tena usiku huu hapa uwanja wa Mwalimu Nyerere. Fikiria ndege ilipaswa kuondoka saa 2 usiku, wakasema itakawia mpaka saa 4...
Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong.
Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
Iwe unatokea Mbeya au Mwanza ukipanda basi lolote lile hata iwe luwinzo mbona unaweza kufika mapema kuliko aliyekata tiketi ya ndege za ATCL.
Au mmoja akitoka Mwanza akifika Tinde akapanda tank la mafuta mbona unatangulia kufika yaani wewe wa basi unaenda kumpokea mtu aliyepanda ndege...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.