safari za nje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Mtandika: Tuache kusema Rais anatumia kodi zetu vibaya kwa safari za nje ya Nchi

    Huyu jamaa anajiita mtaalamu wa Protocol za uongozi Abobakary Mtandika,. binafsi ni jamii ile ile ya machawa tu. Soma Pia: Gharama anazotumia Rais kusafiri nje ya nchi zinarudishwaje? Akiwa katika harakati za kutetea baadhi ya mambo yanayo umiza wananchi
  2. and 300

    Mzee Kipara anamiss Safari za nje

    Mzee Kipara huko alipo Bombuli atakua anakumbuka safari za nje na CHIEF. Mpaka sasa amemiss ile ya; 1. Kagame Inauguration, Rwanda. 2. SADC Summit Zimbabwe, 3. Kenya kwa Odinga AUC 4. China, FOCAC, 5. Washington DC, Marekani UNGA (mwezi September). 6. Miaka 200 ya ufalme wa Lesotho (October)...
  3. R

    Kwanini kiongozi wetu mkuu hajawahi kukosa USD za kufanya safari za nje ya Nchi ilhali wafanyabiashara wanakosa USD kwenye MABENKI?

    Salaam, Shalom!! Kila Kona ya nchi yetu Kwa sasa, dollar imekuwa mtihani, hazipatikani hata Kwa tochi, Mfanyabiashara mwenye pesa za kitanzania, akienda benki kubadili Tshs Ili apewe USD Kwa ajili ya kuagiza bidhaa nje ya Nchi, anaambiwa dollar hamna. Analazimika kuzitafuta mtaani na kuzipata...
  4. R

    Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  5. BARD AI

    Rais Chakwera apiga marufuku Safari za Nje za Viongozi pamoja na yeye mwenyewe

    Rais Lazarus Chakwera amesitisha mara moja safari zote za Kimataifa zinazomhusisha yeye na maafisa wote wa Serikali huku akiwaagiza Mawaziri wote walioko nje ya nchi kwa sasa kurejea haraka Nchini humo. Pia, Chakwera ameweka vikwazo vya Safari za ndani ya Nchi na kupunguza kwa nusu ya mgawo wa...
  6. R

    Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

    Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu. Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
  7. S

    Safari za nje ya nchi

    Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia. Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo watakao tokea kukusaidia ni wachache. Nyakati zimebadika njia rahisi ya kwenda nje ni either utalii...
  8. USSR

    Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

    Nimeshuhudia matusi, dhihaka na ghadhabu za Watanzania leo baada ya mh Rais baada ya kutetea kusafiri nje kuwa wananikosoa wana akili za kawaida ''Wale wenye akili za kawaida ni rahisi kulaumu, wanasema ‘Rais anasafiri tu, hakai, hatembelei mikoa’, nikienda mkoani tajenga siasa ya ndani hakuna...
  9. Suley2019

    Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi. Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
  10. Z

    Rais Samia, safari za nje ziambatane na hotuba zenye mvuto. Hongera Mama wa Barbados, umetikisa kikao

    Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere. Wakati wa Magufuli hazikujitokeza kabisa kwa kuwa hakusafiri nje ya nchi. Rais Samia ameingia na tabia ya kusafiri nje kwa kujitangaza...
  11. CM 1774858

    Rais Kagame 2019 tu alisafiri nje mara 59. Leo safari 9 tu za nje za Rais Samia kelele kila kona. Je, ni Ushamba?

    Rais Paul Kagame wa Rwanda mwaka 2019 tu alisafiri nje mara 59 | Rais Samia wa Tanzania Safari 9 tu nje Wazalendo kelele kila kona, Je, Ni ushamba, Uzalendo, Wivu au roho Mbaya Tu. ______ Minong'ona inayoendelea juu ya Safari za Rais Samia nje si za kupuuzwa zinahitaji Ufafanuzi zaidi tena kwa...
  12. meningitis

    Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
  13. pakaywatek

    #COVID19 Safari za nje zinalazimu nichanjwe

    Mwanzo nilipinga kuchanjwa kumbe usilolijua ni usiku wa giza, itabidi tu nikapate chanjo ili nipate kadi ya kusafiri nayo imeniuma sana huku ndio kufa kufaana.
Back
Top Bottom