Huyu jamaa anajiita mtaalamu wa Protocol za uongozi Abobakary Mtandika,. binafsi ni jamii ile ile ya machawa tu.
Soma Pia: Gharama anazotumia Rais kusafiri nje ya nchi zinarudishwaje?
Akiwa katika harakati za kutetea baadhi ya mambo yanayo umiza wananchi
Mwenyekiti wa CUF prof Lipumba ametoa ripoti ya Baraza la Wazee wa chama hicho waliokaa hivi karibuni na kuelezea kuwa wanasikitishwa na ukuaji wa kasi wa deni la taifa na inaelekea Rais Samia anampiku Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete kwa u Vasco dagama wa kusafiri nje ya nchi kukopa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.