Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao.
Maombi hayo yametolewa hivi karibuni katika kikao cha Baraza la Biashara la Mkoa wa Dar es Salaam ambapo bodaboda...