Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu ya kiufundi iliyotokea katika kituo cha Ihumwa Dodoma majira ya saa 5:38 usiku.
Tunajua kuwa safari...
ONGEZEKO SAFARI ZA TRENI NA NAULI
Dar es Salaam, Tarehe 07 Disemba 2024.
Shirika la Reli Tanzania - TRC linauarifu umma kuwa kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, kutakuwa na ongezeko la safari za treni kuelekea mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Siku ya Jumatano itaongezeka kujumuisha...
Cha ajabu hadi leo nauli hazijatoka ata matangazo kwenye redio na tv, hamna kuwajulisha wananchi mbalawa na kadogosa. Mlisema kweli au kamba ngoja tuone zimebaki siku 10 tu Morogoro iwe saa 1 na nusu watu wamefika kama kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.