Habari za muda huu ndugu zangu,
Nipo safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha na basi la BM T817 DY. Safari inaonekana kuwa ya kawaida sana, maana hapa nimekaa na bibi mtu mzima ambaye amelala tangu mwanzo wa safari pale Shekilango hadi sasa tupo Mkata.
Kiukweli, ni full michosho. TV zao...
Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani.
Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana.
Hili limepinguza...
Mwezi mmoja tangu Serikali iruhusu safari za mabasi kwa saa 24, tathimini ya mamlaka za usimamizi imeonyesha kuwepo ukiukwaji mkubwa wa sheria na kanuni za usalama barabarani, hali inayohatarisha usalama kwa abiria na mali zao.
Kutokana na ukiukwaji huo, ndani ya muda huo mabasi 759 yamekamatwa...
Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24.
Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi.
Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
Anonymous
Thread
baada
kuepusha
nimegundua
safarisafarizausiku
serikali
tahadhari
usiku
vifo
yafuatayo
Uhuru wa abiria kusafiri usiku ni muhimu mno kwa maendeleo yetu. Unatoka Arusha saa 10 jioni unafika Dar saa 10 asubuhi. Unafunga mzigo wako mchana jioni saa 10 unakamata BM unarudi Arusha asubuhi saa 10 upo Arusha. Biashara inaendelea.
Madereva wa mabasi wanahitaji muda kidogo kuweza kuzoea...
Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda.
Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.