Jumapili nilkuwanasafiri na gari kutoka west kilimanjaro to Dar.sitataja gari ya abiria niliyo safiri nayo.bahati nzuri au mbaya gari haikuwa na abiria wengi mpaka tumefika marangu gari ilikuwa na abiria kumi pamoja na mimi.Tulikaa sana pale kama dakika therasini.Tukaanza safari ya DAR...
Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat.
Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat.
Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au labda mke wake ni pasua kichwa, ila anacheat kwa sababu technically mwanaume ni sex machine...
Inaweza kuwa safari yenye huzuni na kukushtua endapo kunatokea taarifa za kuogofya za ajali hama hama tukio lenye kuhuzunisha.
Hapo hapo safari inaweza kuwa na furaha endapo safarini kuna vicheko kwa wasafiri.
Tukio lililotokea majira ya saa 19:34 maeneo ya dumila karibu na mzani ni mshangao...
Yaani ukifika maeneo hayo network inakua hakuna kabisa. huwezi kutumia simu kuwasiliana, yaani huwezi kupiga simu wala kupokea, huwezi kutuma sms au kupokea sms.
Network inakua hakuna kwa ujumla, na zaidi sana hakuna kabisa Internet network..
Yapo maeneo humo humo njiani network iko full tena...
Russia imerusha makombora kuelekea Ukraine yaliyopitia ndani ya Anga la Poland masaa machache yaliyopita na kusababisha Poland kurusha ndege zake F 16 lakini zilisha chelewa na kusababisha mzozo juu ya Air defense zao zilizokua zikikoroma kwenye usingizi mzito
Russian missiles are flying...
Maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu, lazima tutuinze na kuithamini zawadi hii muhimu kwetu sote. Tufurahie uhai na mema mengi ya Mungu alieyoyajaza katika ulimwengu huu.
Imeibuka kasumba kwa wanywaji pombe hasa vijana, mathalani, anasafiri kutoka mkoa moja kuelekea mkoa mwingine, kutumia vilevi...
Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua...
Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara
Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia
Njia ni Sirari au Isibania
MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
Pamezuka ubishi kuhusu wimbo wa "Superwoman" wa Phina na "Superwoman" wa Zuchu. Kuna mjadala mkali sana kuhusu wimbo upi umetulia kusikiliza ukiwa safarini.
Nimeamua kuileta hii mada hapa jukwaani pengine tunaweza kupata majibu sahihi.
Hii ni Superwoman ya Phina:
Hii ni Superwoman ya...
1. Salimia unayemkuta kwenye siti maana hujui ya baadae. Inakera hukusalimia halafu baadae unaanza kuuliza "Eti hapa tumefika wapi?" 🙄🙄🙄
2. Kuwa mstaarabu unapoingia kwenye basi hasa kama tayari unajua siti yako haina haja ya kugombania mlangoni.
3. Sikiliza nyimbo na video za kwenye simu yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.