Tanzania nchi yangu, nchi inayo kua siku adi siku. Kwenye sekta mbalimbali, wawekezaji, watalii ata watanzania wenyewe tunaongezeka, Mahitaji na matumizi pia. Tushawai kuwaza baada ya matumizi ya vitu kama plastiki, karatasi, na taka nyinginezo zisiwe kero kwaku jikita kwenye kuanzisha...