Leo nimefurahishwa sana na kanisa letu la Anglikana.
Nilikuwa sehemu Dodoma nakula nikaona Channel Ten jengo zuri sana Rais Samia Suluhu akilifungua jengo hili.
Baada ya kudododsaa nikajua ni jengo la kanisa la Anglikana kama kitega uchumi, lina mandhari nzuri sana kuanzia ndani mpaka nje...