KARIBU FSF LOGISTICS COMPANY LTD
Kwa wafanya biashara na taasisi mbali mbali FSF LOGISTICS imesikia kilimo chenu Cha muda mrefu kilicho sababishwa na kuwatumia madalali katika kusafirisha mizigo yenu
FSF LOGISTICS ni kampuni ya usafirishaji wa mizigo ya aina zote ndani ya nchina ni wamiliki...