sahara magharibi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mgogoro wa Morocco 🇲🇦 na Sahara Magharibi, kisa na mkasa

    Na Jumaa Kilumbi 10.11.2022 KaskazIni Magharibi mwa Afrika kuna mzozo kati ya nchi ya Morocco na nchi ya Jamhuri ya Waarabu ya Kidemokrasia ya Sahara (Sahrawi Arab Democratic Republic, SADR, Sahara Magharibi). Morocco inadai kuwa Jamhuri ya Sahara Magharibi ni sehemu ya nchi yake huku Jamhuri...
  2. Njama za kuifukuza Sahara Magharibi zinasukwa. Tanzania inahusika?

    Kuna mkakati wa kuifukuza POLISARIO nchini. Serikali ya Tanzania: POLISARIO ni Chama cha Ukombozi ambacho kilipewa hadhi ya Serikali na uanachama wa Umoja wa Afrika tangu 1982. Suala hili limeanza kuleta utata wa kisheria Katika Umoja wa Afrika na Katika duru za Kimataifa. ACT Wazalendo: Huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…