saidi lugumi

Saidi Lugumi
Who is Saidi Lugumi?

Said Lugumi (Saidi Hamad Lugumi) was born in Magu, Mwanza Tanzania in 1972. He was born from Christian parents but later converted to Islam. He was never educated beyond Tanzania’s Primary School System which is a 7 years elementary education.

As a young man he grew up as a shoeshiner in Mwanza and later made his way to Dar es Salaam (Tanzania’s main commercial capital) in early 1990s. In Dar es Salaam, Said Lugumi lived in a couple of third class suburbs including Mwananyala area going on with his earlier “profession” (shoe shinning).

A lucky man?

Through lucky, Said Lugumi met Said Mwema’s daughter and the two fell in love and eventually married. With influential inlaws Said Lugumi was led to establish Lugumi Enterprises initially dealing with corporate printing and fumigation and later diversified to forensics and ICT. Pictured, Air Tanzania House Dar es Salaam city centre where MESSRS Lugumi offices are located.

Said Lugumi has also been rumoured to take part in drug trafficking allegations that are putting him in close scrutiny by the US Department of State and other international law enforcement agencies. In Dar es Salaam he’s known for his lavish lifestyle, sexual scandals with hundreds of women among other controversies. Pictured, company officials donating equipment to schools in their struggle in CSR. A new strategy by another MESSRS Lugumi subsidiary RAN IT to harness new markets.
  1. Carlos The Jackal

    DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

    Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!. Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda...
  2. Aramun

    Saidi Lugumi azama kwenye penzi zito na Miss Rwanda 2016, Jolly Mutesi

    --------------------------------------------- For days now, social media users have been wondering who is dating Miss Mutesi Jolly, since she is one of those famous girls whose personal life is difficult to know from social media as we are used to with many celebrities. Now, people are starting...
  3. Cute Wife

    Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!

    Wakuu, Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja. Na Millard kama kawa...
  4. Mr Why

    Asiyeunga mkono juhudi za tajiri Saidi Lugumi za kuwasaidia watoto yatima hana tofauti na muuaji wa watoto yatima

    Tajiri Said Lugumi amewekeza Mabillion ya fedha kusaidia watoto yatima, asiyeunga mkono juhudi zake hana tofauti na muuwaji wa watoto yatima Tajiti huyu amewezeka fedha nyingi kujenga vituo vya kulelea watoto yatima lakini haishii hapo tu anaenda mbali kwa kuhakikisha watoto hao wanapata elimu...
  5. Cute Wife

    Muda wa kujisafisha na Ufisadi: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar

    Wakuu, Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi, elimu, afya nk, na hiyo inatokana na wito alionao kutoka kwa Mwenyezi Mungu na si vinginevyo. Lugumi...
  6. Makonde plateu

    Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

    Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja...
  7. B

    Saidi Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

    Mfanyabiashara Saidi Lugumi ( @lugumisaidi ) hapo jana November 23 ameendeleza utamaduni wake wa kusaidia Watu wenye mahitaji kwa kujumuika na Watoto yatima wa Vituo vitano nyumbani kwake Masaki Dar es salaam ambapo awamu hii amewakusanya zaidi ya Watoto 700 na kufanya ibada, kula, kunywa na...
  8. Huihui2

    Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

    Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc. Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya...
  9. Mwanahabari Huru

    Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

    CHARLES Kitwanga, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa, hajutii ‘kutumbuliwa’ na Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti. Ametoa kauli hiyo wikiendi iliyopita jimboni kwake Misungwi jijini Mwanza ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kung’olewa kwenye nafasi hiyo...
  10. TataMadiba

    Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Ni baada ya Kamati ya Bunge iliyopewa kazi ya kufuatilia Sakata la Lugumi kuthibitisha kuwa vifaa mashine hizo zimefungwa katika vituo vyote. Agizo hilo limetolewa na Bunge kupitia kwa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson wakati akiahirisha Bunge la 11 leo mjini Dodoma ========== Habari wakuu, Leo...
  11. S

    Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

    Wakati sakata la kampuni ya LUGUMI Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita. Uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha kwamba juzi mashine hizo zilifungwa katika vituo vya polisi vya wilaya za Mpwapwa...
  12. ally ngomanzito

    Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

    Baada ya kuwasilishwa Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ndani ya Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, ilitakiwa kuwasilishwa Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikitakiwa kuwasilishwa na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani katika...
  13. barafu

    Mama wa Lugumi afariki kwa mshituko wa "tuhuma" za mwanae

    Breaking News : Mama wa Said Lugumu afariki dunia akiwa njiani kuja Dar kwa matubabu zaidi ,alipata tatizo la moyo baada ya tuhuma za kutisha za ufisadi kwa mwanae . Mr Lugumi kwa sasa yuko njiani kuelekea Mwanza kuandaa maazishi . Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi , Amin! Akielezea...
  14. benzemah

    IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka. Akizungumza mwishoni mwa...
  15. Kurzweil

    Said Lugumi avunja ukimya kuhusu tuhuma za ufisadi zinazoikabili kampuni yake

    mkalamo Ndugu waandishi wa habari , nimewaita hapa leo ili niweze kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kwa niaba ya Kampuni yetu ya LUGUMI ENTERPRISES LTD, kwa siku kadhaa kumekuwa na habari mbali mbali za kuchafua na kudhalilisha Kampuni yetu pamoja na Mimi Said Lugumi ambaye ni Mkurugenzi...
  16. U

    How withdrawal of billions turned spotlight on Lugumi

    Utakatishaji mwingine wa fedha huu, benki hizi tatu ni lazima BOT wawapige faini. =================================== In Summary The Financial Intelligence Unit (FIU) reportedly investigated the suspicious transactions after bankers detected an unusual movement of funds from several accounts...
  17. Miss Zomboko

    PCCB wafungua kesi dhidi ya Lugumi na Jeshi la Polisi, IGP na Katibu wa Wizara waitwa Bungeni Dodoma

    Waziri wa Mambo ya ndani Charles Kitwanga amekana kuhusika kabisa na kampuni ya Lugumi ambayo kwa sasa inakabiliwa na kashfa nzito ya rushwa na uhujumu uchumi ambayo ilipewa tenda ya kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo vyote vya polisi kwenye Wilaya zote nchini na kushindwa...
  18. M

    Kuna mengi nyuma ya pazia kuhusu mkataba wa LUGUMI Enterprises na Polisi

    Baada ya Meneja msaaidizi wa Infosys kutokea kwenye video iliyokuwa akikanusha kuhusika kwa kampuni hiyo na Lugumu Enterprises, mimi niliamua kuwatafuta ofisini watu wa Bio-Metrica LLC, ambao ofisi yao iko Florida nchini marekani. Katika website yao wameonyesha baadhi ya kazi kubwa walizo wahi...
  19. barafu

    Sakata la Lugumi: Gazeti la Nipashe latakiwa kuliomba Bunge radhi kwa upotoshaji

  20. The Wolf

    Mkataba wa Lugumi: Wananchi tunaomba hizi Kamati za Bunge zichunguzwe

    Kutokana na kauli tata zilizotolewa na viongozi wa kamati mbili za bunge 1. Kamati ya mambo ya nje na ulinzi 3. Kamati ya P.A.C wananchi tunaomba hizi kamati zichunguzwe, mimi nikiwa mmoja wa wananchi hao nashindwa kuelewa mantiki ya kauli hizi mbili, je nini kinachofichwa? Kwa nini Lugumi...
Back
Top Bottom