saidi yakubu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Saidi Yakubu Anahusika kwenye kuficha Pesa za Makamba Dubai na Mauritius

    Mheshimiwa Rais najua kuna watu wanne wamekushauri kuhusu kuchunguza watu kadhaa, Naomba ukumbuke nilidokeza kwenye platform Fulani kwamba hela Ziko Dubai Mauritius na Seychelles ! Huyu balozi wa Tanzania nchini comoro achunguzwe Mara moja Ndo mshika account fichwa zilizobaki za Makamba na...
  2. Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu amekutana na uongozi wa Chama cha Urafiki baina ya Tanzania na Comoro - AMICAL waliofika kujitambulisha kwake. Ujumbe huo uliowajumuisha Katibu Mkuu Youssouf Said Ali ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Elimu wa Rais wa Comoro, Msemaji wa AMICAL...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…