saidoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hivi Saido kasajiliwa wapi siku hizi

    Namkumbuka huyu Mzee wa Simba jinsi alivyokuwa na hasira na Yanga hadi muda wote yeye yupo mitandaoni kuikashifu Yanga. Ni kama Feisal Salum jinsi alivyo na hasira na Yanga. Muda wote anawaza kuikomoa lakini yanageuka na kujikomoa mwenyewe. Yani Mchezaji unakuwa na tabia za kusutanana...
  2. Suley2019

    Saidoo anaaga Simba? Tazama hapa alichopost hivi punde

    Mchezaji wa Simba Saidoo Ntibazonkiza amekuwa kwenye midomo ya mashabiki wengi wa Simba wakiamini anapewa nafasi kubwa kuliko anavyostahili. Leo 22/04/2024 kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost maneno yanayoashiria kumalizika kwa jambo fulani. Ujumbo huo unasomeka "Kila lenye mwanzo hua na...
  3. Rocco sifredi

    Saidoo Saidoo dah

    Me nilishawahi kusema na nitaendelea kusema Ntibazonkiza ndio anamnyima uhuru chama, sababu nafasi anayocheza ndio alikua akiicheza chama na kwa ubora takribani misimu yote aliyocheza simba. Lakini tangu alivyokuja saido muda mwingi tunaona chama akichezeshwa winga, linkup ya saido na chama...
  4. THE FIRST BORN

    Viongozi wa Simba kwa jinsi wanavyowadhara Mashabiki zao tegemeeni kutengenezwa kwa jambo la kuwapumbaza kama issue ya Msimu ulopita Saidoo

    Viongozi wa Simba hua hawawheshimu Mashabiki zao..Ndio maana kila wakiona Yanga wana trend wao wanawaza kuzima trend yao kwa kitu cha Mda mfupi. Si mnakumbuka Msimu uliopita aimba ilikosa FA ikatolewa CAF kama siku zote Robo na Ligi wakakosa pia walichokifanya wakaanza kununua games na SAIDOO...
  5. Boss la DP World

    Yuko wapi Saidoo Ntibazonkiza Mfungaji Bora Msimu Uliopita?

    Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga niweke pesa.
  6. carnage21

    Kwanini Saido Ntibazonkiza amekosa makali Ligi ya mabingwa Afrika?

    SAIDO NI MCHEZAJI WA LIGI KUU, KIMATAIFA HANA MAKALI Kwenye michuano ya club bingwa barani africa msimu huu saido amecheza matches zote 6 ,group stage match 4 ,quarter final match 2 , Lakini kwenye match zote hizo alizocheza hajatoa assists wala hakufunga goal lolote. Ila huku ligi kuu...
  7. utopolo og

    FT: Vipers S.C 0-1 Simba S.C | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 25.02.2023

    Ni siku nyingine tena ambapo Mabingwa wa Uganga Vipers S.C wanawakaribisha Simba S.C kwenye mchezo mwingine wa kutafuta alama tatu ili kujiweka sawa katika msimamo wa kundi C wa ligi ya Mabingwa barani Afrika. Mchezo huu utapigwa kwenye dimba la mtakatifu Maria huko Kitende nchini Uganda...
  8. William Mshumbusi

    Saidoo na chama wakianza Basi Simba haishindi kesho. Ili mzungu afukuzwe

    Ukweli unauma lkn lazima usemwe. Kama Okra, Phiri, Israeli mwenda ndio waliofunga magoli kuipeleka Simba makundi hawachezi. Na Mgunda anamshauri mzungu awaache au amuingize mkude tusitegemee muujiza. Na Hawa wazawa Hawa akina Boko wanataka mzungu afukuzwe ili wazee wampe timu Mgunda waanze...
  9. C

    Kwanini Saidoo hayupo kwenye orodha ya Wachezaji wa Simba waliosafiri?

    Mwenye kujua sababu za Ntibazonkiza kutojumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa Simba wanaosafiri kwenda Guinea kuivaa Holoya atueleze. It is said kwamba hayupo cup tied coz hajacheza mchezo wowote huko Geita gold alikotoka. Sasa kama hana majeraha yoyote kwann aachwe Dar wakati mchango wake...
Back
Top Bottom