Me nilishawahi kusema na nitaendelea kusema Ntibazonkiza ndio anamnyima uhuru chama, sababu nafasi anayocheza ndio alikua akiicheza chama na kwa ubora takribani misimu yote aliyocheza simba.
Lakini tangu alivyokuja saido muda mwingi tunaona chama akichezeshwa winga, linkup ya saido na chama...