sajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna kitu tunafichwa Simba SC kuhusu hizi sajili

    Timu imekua na usajili wa hovyo sana, wacheza wanaosajiliwa wengi ni free agent, nina mashaka kama ni pendekezo la kocha. Sijui kama kuna kitengo cha scouting kinafanya kazi yake vizuri. Hapa ndipo ninapomkumbuka marehemu Zakaria Hans Poppe ni kama simba mzigo (pesa) hakuna. Siku hizi...
  2. Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

    Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini? Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping. Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa. ************** Update 16:30 Simba imekamikisha...
  3. Ushauri kwa Simba kwenye sajili za kimataifa

    ipo hivi nisiwachoshe kihivyo.. simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla. tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya...
  4. Msimu ujao 2023/2024 Simba tunahitaji sajili hizi ili tuwe imara

    Salaam wakuu, hapa nataka mapendekezo ya wana michezo ni wachezaji gani SIMBA unahisi inawahitaji ili iwe bora zaidi msimu ujao, Binafsi napendekeza 1. Feisal Salum (feitoto) 2. Singano claude MIDFIELDER wa Al Hilal 3. Makabi lilepo STRIKER Al Hilal. Fikria kwa muono wako na taja nani unahisi...
  5. M

    Lawlence Mulindwa ili timu yako ifanye vizuri kimataifa sajili washambuliaji wanakuangusha sana

    Sishangai kabisa vipers kucheza mechi 4 bila kufunga goli lolote kwakweli ni shida kubwa sana liko kwenye eneo la mwisho la vipers, kuanzia beki, na viungo wako vizuri sana lakini ushambuliaji ni majanga, Mechi ya leo ilikuwa ni mechi ya vipers kutoka na point kwa namna walivyocheza. Simba...
  6. Simba SC nawasihi sana tulizeni Vichwa vyenu kwa Sajili za Dirisha hili Dogo

    Nauheshimu Uongozi wangu wa Simba SC ila GENTAMYCINE nikiulizwa naonaje Usajili wa Saido Ntibanzokinza jibu langu nitatoa haraka tu kuwa hakuistahili Kusajiliwa Simba SC na Hadhi ya Simba SC siyo ya Kuokota Makapi Makapi.
  7. Sajili Muhimu kwa vilabu vya Kariakoo

    Vilabu hivi viwili SIMBA pamoja na YANGA vina mapungufu katika vikosi vyao ukianza na mabingwa watetezi YANGA wamekuwa na tatizo kwenye safu yao ya ulinzi pamoja na kiungo wa kati nafasi ambazo humlazimu Yanick Bangala kucheza nafasi zote mbili kadiri ya mahitaji ya meji hivyo yanga inahitaji...
  8. Kuanzishwe sajili za muda, ziitwe "Holiday signing" au "Sajili za Utalii" kwa Wachezaji Maarufu Duniani.

    Badala ya kusubiri Wachezaji wakishaacha kucheza na kupoteza umaarufu ndio Waje kama Mbalozi wa bidhaa au kampeni fulani, tufike mahali kukawa na sajili za muda ambapo Wachezaji Maarufu na wenye Mashabiki wengi Ulimwenguni kote wataweza kwenda kucheza popote pale Duniani akijiridhisha kwamba ana...
  9. Dkt. Ndugulile: Usiweke alama ya vidole zaidi ya mara moja unaposajili laini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa wito kwa wananchi kutoweka alama za vidole zaidi ya mara moja wanapokuwa wanasajili laini ili kuepuka kumsajilia mtu mwingine ambaye ana nia ovu. Aidha amesema watatoa muda maalumu kwa kila mwananchi kuhakikisha namba...
  10. Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…