Salaam Wana jukwaa la Ujenzi,wakiwemo wahandisi Ujenzi na Mafundi wote.Nahitaji kujua standard ratio ya Kuweka Sakafu ya Cement ikoje
.Nina Eneo lishawekwa Jamvi la Ukubwa wa SQM 145.Fundi ameniambia Mifuko 10 inatosha.Nimeingiwa na wasiwasi kama yupo sahihi.Nimeamua Kutumia option ya Sakafu hii...
Nimefurahishwa sana na ukweli kwamba mimi ni Mtanzania. Hii si kwa sababu nina pesa sana na matatizo yote ambayo nchi yangu inakabiliwa nayo, lakini kwa sababu ninaona wakati ujao ni bora na wakati ujao uko karibu. Hili linaweza kuwa wazo gumu kwa wengine kwani wanaweza kutaka kwenda mbali na...
Salaam,Shalom.
Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU.
Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI hizo za Bendera ya Taifa naziona katika sakafu za ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo.
Upusuaji huo umefanywa na...
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.
Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni...
Habari wakuu,
Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme.
Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na ukutani. Ila kwa 'floor' ya juu, hakutakuwa na shida utapita juu/darini na ukutani.
Napendelea...
Nawaasa sana mkae mbali na mpira hasa kama ni siku nyingi hamjacheza.
Jana baada ya kutoka job nilipofika nyumbani nilikuta wanangu wawili wa kiume wanacheza mpira pale nyumbani.
Sasa nikataka nijikumbushie umaridadi wangu kidogo, kuna style ile unaiunua mpira ukidunda ni kama unaupiga kwa...
Niliamua kumkataa na kutokutaka asije gheto ili kuomba misamaha yake ya kitandani!, Jambo lililodumu kwa wiki mbili tu wakati nilijua forever.
Mara hii baada ya kuona nimeshikilia msimamo kwa muda mrefu akaamua isiwe tabu akaja gheto kwa lazima lakini hakufanikiwa kuingia maana angeingia tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.