Habari wakuu,
Kuna jengo nilikuwa nimejenga kwa ajili ya ofisi, ila katika umwagaji wa 'slab' sikuweka bomba kwa ajili ya umeme.
Kwa sasa imenipelekea kuweka mfumo wa umeme, kupitia sakafuni na ukutani. Ila kwa 'floor' ya juu, hakutakuwa na shida utapita juu/darini na ukutani.
Napendelea...