sakaja

Johnson Arthur Sakaja (born 2 February 1985) is a Kenyan politician serving as the governor of Nairobi City County since 25 August 2022 elected on a United Democratic Alliance ticket. Previously, he served as the Senator of Nairobi from 2017 to 2022, and as a nominated Member of the National Assembly from 2013 to 2017. He was nominated to Parliament by The National Alliance (TNA) party which was part of the ruling Jubilee Coalition (now Jubilee Party). He was the National Chairman of The National Alliance (TNA) until 9 September 2016 when the party merged with 12 others to form the Jubilee Party.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sakaja Aihama UDA na Kujiunga na ODM, Atangaza Kutetea Ugavana wa Nairobi 2027

    Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, amehama rasmi kutoka chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Rais William Ruto na kujiunga na Orange Democratic Movement (ODM), akitangaza kuwa atatumia chama hicho kutetea kiti chake katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Sakaja alikaribishwa rasmi katika chama...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkasa wa Eastleigh wageuka jukwaa la Mosiria kung’ara baada ya kufutwa kazi na Gavana Sakaja wa Nairobi

    Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mosiria atimuliwa City Hall siku chache baada ya kutangaza kuwania Ugavana wa Nairobi 2027

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imeondoa Geoffrey Mosiria katika nafasi yake ya Chief Officer anayesimamia Public Participation, Citizen Engagement and Customer Service, katika mabadiliko yanayokuja wakati ambapo tayari ametangaza nia ya kuwania ugavana wa Nairobi katika uchaguzi mkuu wa 2027...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…