sakata la diddy

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hypersonic WMD

    Sakata la P Diddy: Amekosea wapi na kwanini sasa?

    Watu hawaelewi kwamba kinachotokea sasa kwa Pdidy n nguvu ya Deep state na Illuminate. Wanakupa nguvu then wanachukua kukuonesha ukizingua tunachukua. Walianza na R kelly. Saizi wako na Pdidy. Maswali ya kujiuliza: Je, n Pdidy alikua pekee yake HAPANA. Kuna watu wengi mabilionea waliokua...
  2. Aramun

    Babu Tale: P Diddy alituita chumbani kwake tukaangalie runinga, Swizz Beatz akatukataza na tukaondoka bila kuaga

    Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake. Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
Back
Top Bottom