Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule Ukraine.
Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa...