Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba. Ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.
========
POLISI mkoani Dar es Salaam wamekamata mafurushi ya mifuko yakiwa na viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto ya Bunju...