Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy.
Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana...
Nimepokea messages nyingi sana toka kwa wanaJF wengi kutaka kujua maoni yangu kuhusu suala la Diddy kwasababu mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Hiphop na mtu mwenye akili mingi. Nilikuwa sitaki kuongelea hili jambo ila nimeona niongelee muziki kwa ujumla jinsi ulivyo katika ulimwengu wa leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.