sakata la richmond

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Nasubiri kwa hamu hotuba ya Harrison Mwakyembe aliyetumika kumchafua Lowassa kwenye sakata la Richmond

    Wanyakyusa wamefanya mengi ya kishujaa nchi hii yanayokumbukwa. Lakini Dr. Harrison Mwakyembe alifanya jambo ambalo mpk kesho linashikilia rekodi ya ushubwada. Alikubali kutumika na maadui/wasaliti wa Lowasa kufanya kazi haramu ya kumuangushia zigo la ufisadi kisha kumchafua. Na mhe. Rafael...
  2. Sir robby

    Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

    Wadau nawasalimu. Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu! Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Kama bunge...
  3. KIM KARDASH

    Malenga wetu na sakata la Richmond

    Nova Kambota Kalamu yangu nashika, shairi nakutungia Kamanda umeongea, kiwingu umeondoa Hukutaka kusinzia,makosa kuyarudia Jibu umetupatia, viva kamanda Lowassa Mwananchi nimesoma, la jana nilinunua Machoya yakatuama, dukuduku umetoa Uliyosema Dodoma, Kwakweli yanavutia Jibu...
Back
Top Bottom