Zaidi ya wakulima wa miwa 11,000 wa Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wameungana na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kumpeleka mahakamani Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuruhusu uingizaji holela wa sukari kinyume cha sheria uliosababisha viwanda vya sukari kushindwa kununua miwa yao...
OFISI ya Rais, Mipango na Uwekezaji imetofautiana mtizamo na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwenye kampeni yake ya kuhamasisha utoaji wa vibali vya kluagiza sukari kutoka nje.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametoa kauli hiyo mjini Dodoma na kusisitiza...