Yanga inafanya mkutano na waandishi wa Habari muda huu, fuatilia hapa kitakachojiri
https://www.youtube.com/live/EX22v01thd8?feature=shared
Mkurugenzi wa Sheria wa Yanga Simon Patrick amekiri uwepo wa kesi hiyo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la wadhamini wa Yanga SC...