Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa...