sakho

Sakho is a surname of Senegalese origin. Notable people with the surname include:

Diafra Sakho, Senegalese footballer
Diogal Sakho, Senegalese musician
Jordan Sakho, Congolese basketball player
Lamine Sakho, Senegalese footballer
Mamadou Sakho, French footballer
Mamadou Sakho (wrestler), Senegalese wrestler
Mohamed Sakho, Guinean footballer
Sandro Sakho, Portuguese footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Simba Sport Club yafungiwa kusajili kisa Pape Ousmane Sakho

    Klabu ya ligi Kuu ya NBC YA Simba imefungiwa kusajili mpaka itakapolipa madai ya Klabu ya Teungueth ya Senegal kuhusu mchezaji Pape Ousmane Sakho. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya klabu hiyo kushinda kesi ya madai dhidi ya Simba kutokana na mauzo...
  2. Pape Sakho atimkia Ufaransa

    DEAL DONE: Uongozi wa klabu ya Union Sportive Quevillaise-Rouen Metropol inayoshiriki Ligi daraja la kwanza Ufaransa [emoji632] umethibitisha kukamilisha rasmi uhamisho wa winga Pape Sakho kutoka Simba.
  3. Sakho wa Simba SC tumeshajua Sakho Kauzwa wapi, mbona Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata 'K na Mjichubuaji' hatuambiwi wameenda wapi?

    Simba SC bado wanaendelea Kuonyesha jinsi gani wanaelekea pazuri kuwa Klabu yenye Uweledi. Tayari Mchezaji Sakho wa Simba SC tumeshajua Kauzwa wapi ila kwanini Mtikisa Manyonyo, Mvaa Bukta Kata K na Mjichubuaji si tu hawaonekani bali hata hatutangaziwi Hatima zao wakati Wafuatiliaji wa Masuala...
  4. Sakho na Phiri waomba kuondoka Simba

    Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza. Kutokana na hilo kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa kuna baadhi ya ofa watazifikisha Msimbazi kumhusu Mteja...
  5. S

    Pape Ousmane Sakho transfer updates

    Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza. Kutokana na hilo kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa kuna baadhi ya ofa watazifikisha Msimbazi kumhusu Mteja...
  6. M

    Tatizo la Sakho ni hulka yake ya kutaka kucheza na jukwaa!!

    Sakho asipoangalia ataozea kwenye benchi la simba. Anapenda sana kucheza na jukwaa kwa hiyo mara nyingi hupoteza mpira akiwa kwenye harakati zake za kucheza na jukwaa!!! Uwezo wake wa kupaka rangi mpira ni mdogo.
  7. Tunaobeza Sakho kitwa timu ya taifa Senegal tuweke akiba ya maneno

    Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu. Tubeze lakini tuwe na...
  8. Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

    Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane. Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji wenu wanamfanya Kama dancer hivi kisa amepostiwa na Sadio Mane. Sakho ni chawa wa Sadio Mane
  9. Angalia alichopost Sadio Mane kuhusu Sakho, awaambia "Simba angalieni mchezaji wenu"

    Sadio Manè just posted this video of Pape Sakho dancing in Senegal’s camp with the caption: “Simba SC look at your player become a dancer.”
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…