Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa.
=====
1. Tazama ramani utaona nchi nzuri
Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka,
Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri,
Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania
Majira yetu haya...
Wanajukwaa
Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote.
Ile hali ikawa inapelekea mimi kuwa mtu wa kulala lala tu, kazi zangu nazifanya kivivu, na kibaya zaidi...
Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Sabato njema
Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu.
Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia...
Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum.
Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
Inawezekana umeiona hii picha mara nyingi, ila leo utaifahamu stori ya kusikitisha iliyojificha nyuma ya hii picha, stori inaanzia karne ya 15 katika kijiji kidogo kilichopo pembeni ya jiji la Nuremberg, huko ujerumani.
Kulikua na familia yenye watoto kadhaa, ilikua ni familia maskini ili...
Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa
kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema
hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo
linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality
life baada ya kufa.
Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja
jishikiza kwenye...
Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni..
Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia.
cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
Watakatifu wa usoni.
Katika giza la unafiki, watu wanajifanya kuwa wema wanavaa ngozi ya kondoo kumbe chui, ustadi na wakati wa majaribu, ni vigumu kutofautisha kati ya wema halisi na wenye hila za watu wenye kujali maslahi yao binafsi kwa kutumia taswira ya utakatifu na uadilifu wakati...
Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni.
Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi.
Binti ya wangu...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel.
Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya...
1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto.
2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao.
3. Wanawake wajawazito wajifungue salama.
4. Walionasa kwenye madeni.
5. Wanaofanya kazi kwa wahindi.
6. Wanaopambana kujitoa kwenye aina mbalimbali...
Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
Hello wakuu,
Greetings,
Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba
Nawakaribisha.
Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala.
Hiyo inamaanisha nini?
1. Watawala wanaamini sana katika maombi?
Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu...
Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu.
Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyofanyika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, Mkoa wa Kaskazini Unguja - tarehe 12...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali pamoja waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussen Ali Mwinyi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa katika Msikiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.