sala na kazi

  1. Raisi Magufuli likatae pendekezo la kuwashughulikia mitume na lile la kujenga makanisa mpaka kwenye vituo vya usafiri wa Mwendokasi.

    Wataalamu wa mawazo na wanazuoni: Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa kabla ya kuamua kusoma Teolojia. Ingalikuwa wahusika waliwekeza muda wa kutosha kusoma Falsafa ili...
  2. Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

    Wanahistoria, wanaharakati,wanateolojia na wanasiasa: Ni ukweli usiopingika kwamba historia ya Mambo mengi yaliofanywa na watu waliotutangulia ama imetusaidia katika kujirekebisha kutofanya makosa kama watangulizi wetu au imetusaidia katika kufanya mambo vizuri zaidi kuliko walivyowahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…