Sasa nikajisemea haijalishi magumu haya nayopitia, sitaki niipoteze na nafsi yangu pia na labda familia yangu kwa ajili ya maisha mazuri.
Ushawahi kujiuliza baada ya kwenda kwa mganga ni ipi stori ya nyuma inabaki ambayo wewe haujui, nini kinabaki katika roho yako, nini kinafanyika katika nafsi...