sala

Šaľa (pronunciation ; Hungarian: Vágsellye, German: Schelle) is a town in south-western Slovakia.

View More On Wikipedia.org
  1. Tazama Ramani ndiyo uwe Wimbo wa Taifa, Mungu iwe Sala ya Taifa

    Tazama Ramani umekaa kizalendo zaidi, uwe wimbo wa Taifa haraka iwezekanavyo, Mungu ibariki Africa iwe sala ya Taifa. ===== 1. Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka, Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania Majira yetu haya...
  2. Ewe Mtanganyika, ukimsikia Mtawanyika akisema hakuna Mungu, wala sala hazisaidii, mtizame usoni kisha utabasamu na uondoke zako.

    Wanajukwaa Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote. Ile hali ikawa inapelekea mimi kuwa mtu wa kulala lala tu, kazi zangu nazifanya kivivu, na kibaya zaidi...
  3. U

    Wasabato wanachofanya Mapadre kwenye sala ya kitubio ni kwa mujibu wa Biblia, sawa na kazi ya ukuhani anayoifanya Yesu hekaluni mbinguni muda huu.

    Moderator naomba uache Uzi huu ujitegemee wenyewe tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Sabato njema Naye akiisha kusema hayo, akawavuvia, akawaambia, Pokeeni Roho Mtakatifu. Wowote mtakaowaondolea dhambi, wameondolewa; na wo wote mtakaowafungia...
  4. Elimu bila Rushwa: Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha MWECAU, kilichopo Kilimanjaro,wanachuo WAMESALI SALA YA TOBA!

    Kuhama kwa mhadhiri Dr. Adam kutoka Chuo Kikuu cha Mwecau, kilichopo Kilimanjaro, kumekuwa na tukio la kihistoria ambalo wanafunzi wa shahada ya pili chuoni hapo wameamua kulisherehekea kwa sherehe maalum. Wanafunzi hao wameonyesha furaha na matumaini ya mabadiliko chanya baada ya Dr. Adam...
  5. "Mikono ya inayosali " - The hands that pray

    Inawezekana umeiona hii picha mara nyingi, ila leo utaifahamu stori ya kusikitisha iliyojificha nyuma ya hii picha, stori inaanzia karne ya 15 katika kijiji kidogo kilichopo pembeni ya jiji la Nuremberg, huko ujerumani. Kulikua na familia yenye watoto kadhaa, ilikua ni familia maskini ili...
  6. M

    Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

    Kumekuwa na hali fulani kwamba watu wakifanikiwa kiuchumi au kusoma kidogo basi wengine wanasema hakuna Mungu na kutaka logic kwenye kila jambo linalohusu uwepo wa Mungu. Hawaamini hata immortality life baada ya kufa. Je nawauliza nyie ni zaidi ya Elon Musk ambaye ingawa haja jishikiza kwenye...
  7. Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi

    Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi:)
  8. Sala sala nice house for sale

    Salasala house for sale 4bedroom house Area size 750 sqm Price 90 tsh millions only Contact us 0744873708
  9. Sala ya kuwaombea toba Washenzi wa Afrika mbele ya moyo mtakatifu wa Yesu

    Ni sala maarufu sana Iliyokuwa Inalindima Kipindi kile cha Ukoloni Kutoka kwa WaMissionary na Hasa Maaskofu wakuu wa enzi hizo za Ukoloni.. Mungu utusaidie Tusiwe Miongoni mwa Washenzi Wasio kuwa na Elimu ya Kukutumikia. cc:- Kiranga Kisai Rabbon min -me
  10. Shetani mpenda sala!

    Watakatifu wa usoni. Katika giza la unafiki, watu wanajifanya kuwa wema wanavaa ngozi ya kondoo kumbe chui, ustadi na wakati wa majaribu, ni vigumu kutofautisha kati ya wema halisi na wenye hila za watu wenye kujali maslahi yao binafsi kwa kutumia taswira ya utakatifu na uadilifu wakati...
  11. Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

    Kampuni ya OYA inayotoa huduma za ukopeshaji wa fedha wamekuwa wakitenda uovu na udhalimu mwingi katika operation zake za kudai madeni. Miingoni mwa udhalimu wanaoufanya, ni pamoja na kupiga, kutesa, kutekwa nyara kwa muda na kisha kwenda kukubwaga mbali na eneo lako la makazi. Binti ya wangu...
  12. U

    Ayatollah Khamenei kuongoza Sala ya ijumaa Leo na kutoa hutuba nzito

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel. Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya...
  13. Tuwakumbuke kwenye sala na dua wafuatao.

    1. Wanandoa wenye miaka kadhaa wakihangaika kupata watoto. 2. Wanaoelekea kufilisika kwa kujigharamia au kugharamia matibabu ya wapendwa wao. 3. Wanawake wajawazito wajifungue salama. 4. Walionasa kwenye madeni. 5. Wanaofanya kazi kwa wahindi. 6. Wanaopambana kujitoa kwenye aina mbalimbali...
  14. Naomba nieleweshwe kwenye ukristo! Kwahiyo akikaribia kufa na akaomba sala ya toba haendi motoni?

    Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya akina ben saa nane,azory gwanda na akwalina au yale mauaji ya zanzibar akiombewa kwa sala ya toba eti...
  15. M

    Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

    Hello wakuu, Greetings, Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba Nawakaribisha.
  16. Nini lengo la viongozi wa dini kufanya sala kwenye matukio ya kitaifa?

    Nchi yetu Haina dini, hilo linafahamika. Lakini karibia kila tukio la kitaifa, lazima viongozi wa dini wawepo kwa ajili ya sala. Hiyo inamaanisha nini? 1. Watawala wanaamini sana katika maombi? Sidhani, kwa sababu kama ndivyo, kwa nini wawaalike wa dini zenye maarufu pekee? Mara nyingi...
  17. J

    Sala ili ipokelewe na Mwenyezi Mungu inapaswa iwaje?

    Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu...
  18. Mungu wangu sio kiziwi bado naamini atasikia sala zangu na juhudi zangu hata nikiwa nimeondoka hapa duniani

    Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu. Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu...
  19. Rais Mwinyi ajumuika ibada ya Ijumaa kumuombea Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika ibada ya Sala ya Ijumaa na Dua Maalum ya kumuombea Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyofanyika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, Mkoa wa Kaskazini Unguja - tarehe 12...
  20. Swala ya Eid el Fitri, Msikiti Masjid Zinjibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Viongozi wa Dini, Serikali pamoja waumini wa Dini ya Kiislamu Wakiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussen Ali Mwinyi katika Swala ya Eid el Fitri iliyoswaliwa katika Msikiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…